ZeeJumla
4 set oil container-jumla
4 set oil container-jumla
Regular price
TZS54,500.00
Regular price
Sale price
TZS54,500.00
Unit price
/
per
Hizi ni container za jikoni za muundo wa chupa. Na material yake ni glass nzito. Zinakaa kwenye box moja chupa 4. Chupa 3 ni za kueka viungo ambavyo sio vya maji maji kama chumvi, pilipili, nk. Chupa 1ni ya kumiminika hivyo unaeza eka mafuta, soya sauce, ndimu ya maji nk. Uzuri wake hizi sio plastic ni chupa hivyo unaeza kueka kwenye fridge au hata kumimina mafuta ya moto. Na pia zinakuja kama set.