ZeeJumla
Drain Cleaner-Zeejumla
Drain Cleaner-Zeejumla
Regular price
TZS60,500.00
Regular price
Sale price
TZS60,500.00
Unit price
/
per
Drain Cleaner. Hii ni dawa ya kuzibua sink. Iko katika muundo wa majimaji. Uzuri wa dawa ikiwa kwenye muundo wa maji maji haiwezi kutoboa mipira ya bomba kwasababu ni rahisi kumumunyuka. Size ya kopo ni nusu lita. Carton moja zinakaa kopo 42. Carton moja 60,500tzs (~1500/chupa) kama choo hakijaziba unaeza tumia kopo moja miezi 3 na zaidi. Kingine inaharufu nzuri sana.